Search results

  1. S

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Na mwaka huu watamnyima RODRI tena 😔 In two occasions for club and country tumemwona kwa macho yetu, lkn bado tu, L'equipe wataipitisha 🙌
  2. S

    Kindege (Aviator) Kilivyosepa Na Milioni 7 Ya Mtaji Najihisi Kufa

    Pole Sana kaka, at least umeona umekosa. Kuteleza kupo Tu, hapo anza upya, Sir God haijawahi kutuacha, anza na yeye, kila K2 kitakuwa sawa
  3. S

    Mabadiliko gani ambayo Simba wanapaswa kuyafanya kwenye kikosi chao?

    Nadhani sasa Simba waanze kuwaangalia vijana chipukizi. Maana sasa ni kama inakuwa klabu ya maveterani, na akademia wanazo na vijana wanaskuma mali kisawasawa