Search results

  1. A

    Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni

    acha fitna na uongo timu ni nzuri sana,. inamabeki wazuri sana, timu ina wiki nne tu kwenye pre season na imekutana na mechi ngumu kama ya yanga hivi ww ulitaka iweje wachezaji wooote wageni. 14 kocha mgeni acheni ujuaji. wenu bwana,. kocha na wachezaji wote wa simba wanatakiwa kupewa muda...
  2. A

    FT : SIMBA SC 2 APR 0 : Umeionaje Klabu ya Simba? Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?

    Timu ipo vzr na inamnyambulisho mzuri sana kwa wachezaji hapo kikibwa inatakiwa kupata match fitness kama 3 timu itakuwa timamu sana, otherwise timu ni nzuri sana na ina nguvu na vijana. very dynamic