Search results

  1. M

    FT : SIMBA SC 2 APR 0 : Umeionaje Klabu ya Simba? Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?

    Sema kocha hana namna league ndo imeanza lkn ilitakiwa apate mechi km 3 kwa wachezaji wake ili apate chemistry ya timu
  2. M

    FT : SIMBA SC 2 APR 0 : Umeionaje Klabu ya Simba? Kipi kinatakiwa kuongezwa na ushauri wako ni upi Kwa Kocha Mkuu Fadlu Davis?

    Mutale ndiye kanivutia zaidi na klabu km itacheza kwa ushirikiano wa namna hii ktk ukabaji tutafanya vizur Pia ushauri kwa kocha fadlu:aendelee kuwasoma wachezaj wake vzr katika mikimbio yao ili aweze kupata first 11 iliyo bora...haswa walioingia kipind Cha pili dkk za mwanzo ndo bora zaid