Search results

  1. S

    Thank You Iendelee Kwa Nani SIMBA SC ?

    Naisubri ya chama😂😂
  2. S

    Mkeka wa Leo Jumapili Odds zaidi ya 100

    Uwe unatuma code bc ndo unyama
  3. S

    Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makini…Simba No Stress

    Me naleta kizumbi wao waniletee lameck lawi 🤣🤣 bado naiona tano tena kwa mtani okota okota imeanza khvo🤣🤣🤣
  4. S

    Mmepokeaje Taarifa Hii Ya TFF? Wako Sawa?

    Hivi hawa wanajielewa kweli au hawana hizo tuzo waseme🤔🤔
  5. S

    Kukatwa Alama Kisa Ushirikina Ligi Kuu Umeipokeaje?

    Wanataka waganga wakale wapi? Waache riziq za watu ziendelee😂😂
  6. S

    KIJIWENI Kwenu Timu Yenu Ya NDONDO Inaitwaje?

    Kitwango fc usiombe ukutane nayo😂
  7. S

    Shaffih Dauda vs Zaka Zakazi Nani Yuko Sahihi?

    Yanga na azam club bingwa, simba na costal union shirkisho, dadeq kila mtu atavuna alchokipanda😂🤣
  8. S

    Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?

    Offside maana zinaniua sana kwenye mikeka🤣😃