Search results

  1. Jackson@kaiza

    Unakubaliana Kiasi Gani Na Waraka Huu Wa JEMEDARI SAID Kuhusu TAIFA STARS?

    Mimi nafikili kwanza yuko sawa na nimpongeze kwa Hoja Nzuri Za kimichezo lakin kabla hatujalaumu uwepo wa wachezaji wa kigen lazima nchi Kama nchi iwe na mikakati ya muda mrefu na mfupi Kama ifuatavyo 01: Mfano ukiangalia kikosi cha timu ya taifa hakieleweki Mara Leo kaitwa uyu Mara kesho...
  2. Jackson@kaiza

    FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

    kwanu mimi naona ligi yetu itakuwa nzuri cha msingi marefa waache kubalance mchezo kabisa penye kadi toa kadi penye penalti toa penalti. maana naona mtandaoni mjadala mkubwa ni penalti na offside zile mbili lakin kiukubwa ligi yetu itakuwa tamu san