New Team New CEO Ahsanteh Sana Tajiri Mohammed...Leo Kuna Baadhi Ya Watoa Taarifa Mitandaoni Wanatuma Taarifa Kwamba Team Ya simba Imecheza Mechi Ya Kirafiki Nakufungwa 6 Je hiii Taarifa Ina Ukweli Ndani Yake!? Na Kama Haina Ukweli Ni Hatua Gan Mnapanga Kuchukua Juu Ya Vyombo Hivyo Vya Habari...