Search results

  1. R

    Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki

    M naenda na 4-2-3-1. Camara, Kapombe, Hussein, Spear JR, Che Malone, Kagoma, Fernandez, Kibu D, Ahoua, Awesu, Mukwala.
  2. R

    FT : AL Ahli Tripoli 0 Simba SC 0 | Mchezaji Gani Amekukosha Leo?

    Hongera kwa 🦁. Ni mwanzo mzuri katika mashindano. Kwa mkapa wahakikishe wanaumaliza mchezo mapema. All in all Camara bonge la kipaπŸ‘
  3. R

    Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

    Semaji yuko sahih, endapo hiki kikosi kitapata maelewano mazuri hakika the future is bright. 🦁🦁 Atakuja kufanya balaa kubwa mno
  4. R

    Mkeka Wa Leo Jumamosi 22/06/2024 Wikiendi Ya Kibingwa

    E48429 chukua hiyo watu SPORTYBET
  5. R

    Kauli Ya Mwigulu Wakati wa Uwasilishaji Wa Bajeti Mmeipikeaje Wana KIJIWENI?

    Africa my Africa 😭😭. Inamaana haya mafanikio nchini kaanza kuyapata Nyuma Mwiko?? πŸ€”πŸ€”πŸ€”. Mbona aliyeonyesha njia ya haya mafanikio hapewi heshima hiyo?? ✊✊✊. Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo 😏😏
  6. R

    Nukuu 2 Za Leo za MURTAZA MANGUNGU Baada Ya Kauli za Mo Dewji

    Huyo Mangungu ndio kaharibu SIMBA yetu. Alianza kutudanganya kweny uchaguz alimleta ROBBY MANZOKI na aliahidi kumsajili baada ya kupita lakin matokeo yake tunaletewa kina JOBE, SAWADOGO. Atoke timu sio ya Baba yake ✊✊
  7. R

    Zambia 0 Tanzania 1 Mchezaji Gani Amekuvutia Katika Mchezo Huu?

    Wachezaji wametuwakilisha vyema. Viva πŸ‡ΉπŸ‡Ώ , km tukiendelea kuwa na timu ya Namna hii na kucheza kwa spirit kubwa Dunia itajuta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  8. R

    Wanasimba Kauli ya CADENA Mmeichukuliaje?

    Kuna mda unakuwa km unafiki tu. tungeshinda game haya maneno ucingeyasikia. Tulipoteza Coach hakuongelea hilo, leo baadhi ya viongoz wametoka anasema hilo, je kama wasingetoka kweny nafas zao??
  9. R

    Mmepokeaje Taarifa Hii Ya TFF? Wako Sawa?

    Hii itakuwa sawa endapo TFF watakubali kuwalipia Gharama za kuja nchin na kuondka pamoja na malazi, Kwa WACHEZAJI ambao huondoka kweny clubs zao either kwa kwenda ligi za Africa au hata Ulaya...na wapo kweny tuzo hizo.. Pili hilo Swala linachelewesha Profile ya mchezaj kukua 😭😭😭
  10. R

    MAYELE: Yanga Wanajali Sana Maslahi Yao Kuliko Ya Mchezaji Nikirudi Watanipokea Tu

    Sio tu mashabiki bali ata viongoz pia watampokea. Tulishayaona hayo kwa Haruna Niyonzima na Benard Morrison. Ila m namshauri aje 🦁 awasahau 🐸🐸. πŸ˜‚πŸ™Œ
  11. R

    Kukatwa Alama Kisa Ushirikina Ligi Kuu Umeipokeaje?

    Ujue kuna ushirikina af kuna ushirikina ambao timu unazifanya hadharani. Kma timu itafanya matendo ya ushirikina hadharani n halali kukatwa points, kwa sababu wanaleta picha mbaya kweny maendleo ya ligi yetu. πŸ€“πŸ€
  12. R

    Mkeka Wa Leo Jumatatu 20/05/2024

    Mbna con mkeka wa leo?? πŸ₯ΈπŸ€