Azam sio kam hawezi kushika nafasi ya pili n kucheza ligi y mabigwa tatiz kubwa la azam ni kwny fan base ambapo hawana watu w kuwalaumu kw chochote,hii kitu inapelekea wachezaj n viongoz kuona saw kweny kla wanachokipata sababu hawapat presha yyte ktka kw mashabiki.for me it's time azam aanze...