Kuna mda wakutumika hisia na mda wakuangalia uhalisia kwa nilichokiona Simba wanajitahidi na zipo sajili walizofanya zimeonesha kuwa nzuri japo zinahitaji muda mukwale,Debora,Camara goal keep , disconnector wanajitahidi wanajitahidi mda ila unapoongelea timu ni mjumuiko wa ubora katika sehemu...