😂😂hapo bado ligi haijaanza,,ikianza utaona wendawazimu zaidi
Yanga amekuja kupigania namba siyo kule alikokuwa anaombwa kucheza,,huku ni kwingne jombi,,asipopambana anawekwa benchi
Ataondoka yeye siyo Miguel Gamond,,mr Papaa
Ni sahihi kwasababu mara zote ukitaka kufanikiwa lazima awepo anaekupa changamoto
Kama hupati changamoto yeyote maana yake pia huna lolote unalofanya
Kauli ile ya Mo Dewji ilikuwa kwajili ya kuwatia moyo wananchi kwamba mapambano hayajaisha
Ila wakati ambao Ahmed Ally anakuja kuongea amechelewa...