Kila mtu ana maoni na mtazamo wake ,, hatuwezi kupinga maoni au mtazamo wako ,, na sisi pia tuna mtazamo wetu ,, kitakachokuja kutupa majibu ni Nani na Nini alichovuna mwisho wa ligi ,, hapa ni Kama tupo kwenye chumba Cha mtihani usitake kutuaminisha majibu yako ndyo yatatufanya sisi tufaulu...