Anatumiwa na watu huyooo
Kwakuwa watu tunamfuatilia ndo maana upande wa pili wanaamua kumtumia ili atuvuruge
kwanza kabisa tunajua kuwa @ShaffihDauda ni mwana utopolo lialia
Hivyo sisi tuliosoma Cuba tayari tunaelewa kuwa anatupoteza maboya na hiyo ramani ya mchongo anayotucholea kitaaaambo...