Nakumbuka ulipigwa mpira halafu kuachana nyavu ukapita pembeni ya goli halafu ukaingia ndani,kukawa na utata km goli au sio goli na mm ndio nilikua nyuma ya goli...Basi nikaona wahuni wanakuja na mapanga kuja kuniuliza mm,weee nikasema watu sio wajinga,nilishika viatu vyangu mkononi halafu...