Search results

  1. M

    Hizi Hapa Timu 16 Zitazokiwasha Kagame Cup 2024

    Hapo sasa wananchi (Yanga) letu kombe tena tutahangaishana kidooogo sana na TP mazembe hawa wengine kuburuta kaka kenge yatima
  2. M

    Wanasimba Kauli ya CADENA Mmeichukuliaje?

    Kocha yupo sahihi hawa watani inabidi wafumue viongozi kwanza ndo waje kwa wachezaji Mimi ninauhakika timu ya yanga na wachezaji wote wakipewa simba na wachezaji wa simba walivyo wakaja yanga...yanga inachukua kombe tena inshu ni kuanzia viongozu
  3. M

    Odds Zangu 5 Za Leo

    Nakbali sana Jana nimekula bhana mkeka wako