Search results

  1. B

    Mkeka Wa Leo Jumatano 11/09/2024 Wa Kibingwa Na Magoli Pekee

    Mech ya Jana ya Tanzania na guinea c nilibetia bn 😅 ss nimekaa zangu kibandani nacheki mech nashangaa Feisal karudisha goli ikawa moja moja 😅 nikafurahii ss muda umepit kdg dkka za mwishon Tanzania tena tukapata goli kbbke nilinyenyuka kwa furaha nikaanza kurukaruka 🤣🤣🤣🤣🤣mara gafla c nikakumbuk...