Djigui Diarra ana kila aina ya sifa zilizotajwa hapo juu.. licha ya hivyo djigui Diarra amekuwa kama kocha ndani ya pitch yeye ndo anawaona wote na yeye ndo anamiliki build up zote kuanzia nyuma na anajua kuipanga Safu yake... Ana elements za uongozi