You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser.
-
M
Kiukweli naiona simba yetu inaelekea pazuri kwajinsi walivyo cheza mchezo ulikua mzuri sana...
-
M
Endapo simba watatulia wakatambuana kunauwezekano mkubwa wakufanya vizuri msimu huu, kiwango walichonacho sio kibaya kunahitajika marekebisho kidogo tuu...