Bado hakijawaka huwa ninachojua mimi migogoro ya Simba na yanga ni kama mbio za vijiti huwa ni kupokezana sasa ukiona Simba kunapoa yanga lazima kuwake mimi ni Simba na sioni chaajabu kusikia kama kuna shida inakuja kwa mtani nikisikia hivyo nafrahia mana sasa najua Simba mema yanakuja