Inategemea na timu Gani anacheza,
Hapo yanga atafunga goli 20+, dube ni mtu na nusu tatzo lilikuwa ni timu aliyokuwepo, sasa timu msimu mzma mission yake inakua ni kushika nafasi ya pili na hapohapo pia mshambuliaj anaambiwa "usiifunge timu Fulani" alaf unategemea awe top scorer wa ligi 😁...