Yaan huyu kijana ana moyo wa kujituma na kupambana akiwa kwenye Clab yake na Timu ya Taifa, akipata Clab kubwa ya nje ni vyema zaidiiiii. Akatuwakilishee
Daah aisee Leo ni siku ya Shangwee sana Kwa Sisi Watanzania,, Sina bud kutoa shukran kubwa Kwa Viungo wetu machachari: Fey na Mdathir 💯💯,, Guinea ndo kama anatupa ka nafasi hvii😅😅