Mtu wa mfano mzuri wa kuigwa kwa wachezaji wengi wazawa hasa vijana.
Nidhamu, bidii, juhudi na upambanaji katika umri sahihi na bila kujisahau huleta mafanikio katika kila hatua.
Clement Mzize, Ladack Chasambi, Najim Mussa, Edwin Balua na wengineo wana cha kuchukua toka kwa John Boko tangia...