Mimi naamin mabadiliko ya mpira yanakuja pale tu vilabu vyengine vinapopata nafasi ya kushiriki mashindano makubwa tofauti na yale mazoea ya kuwa kila siku kuna timu fulani ndio zinashiriki, hata Azam FC inaweza kupata ñafasi ya kuwa na mashabiki wengi kibiashara kama vile simba na yanga ikiwa...