You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser.
-
Yaaap tajil Yuko sahihi kikubwana wanao kuja wawe bola kuliko wanaotokata but huweziiiiiiiiiiii mlazimishaaa abak kwa club 💯
-
Simba ituleteee wachezaj imala itupoze machungu
-
Simba ibadilike tumechoka kutoka uwanjan dakika za 60 ,70
-
Vzul sana kocha Haina bud Simba ibadilike jaman maumivu tunayo pitia Wanasimba kwa sasa n makubwa yasijiludie msimu ujao 📌📌