Search results

  1. Hammy36

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    Kijiwe hiki kinawakutanisha mashabiki wa klabu ya Simba hapa Kijiweni ambapo tuwe tunajadiliana kuhusu klabu ya Simba na mambo yake kwa ujumla kama matokeo ya mechi, usajili na mechi za timu yetu
  2. Hammy36

    Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

    Game ingepigwa kwa Mkapa tu maana ni ya FA ya Tanzania Bara sio ya Zanzibar
  3. Hammy36

    MKEKA WA LEO 05/05/2024 Za Kumaliza Wikiendi Kibingwa

    Wanangu wa mikeka hapa wala usiumize kichwa sanaaa wewe chagua timu zako ambazo unaamini kabisa zitatoa ukiamua kuufata wote pia fresh wewe tu cha msingi kupata kibunda cha mhindi tumalize wikiendi fresh. PSV - Sparta Rotterdam Halftime/Fulltime: (1/1) 1.78 Antwerp - Club Brugge KV BTS...
  4. Hammy36

    MKEKA WA LEO 04/05/2024 USHINDWE WEWE SASA

    Wanangu wa mikeka hapa chagua timu zako ambazo unaamini kabisa zitatoa ukiamua kuufata wote pia fresh wewe tu cha msingi kupata kibunda cha mhindi Arsenal - Bournemouth 1X2 & Total: (1 & Over 1.5) Birmingham - Norwich Total: (Over 1.5) Ipswich - Huddersfield Ipswich Win Leeds -...
  5. Hammy36

    MKEKA WA LEO 03/05/2024 Tunampiga Mhindi Hivi

    A. Lustenau - Austria Vienna Austria Vienna Win Almere City - Heerenveen Total: (Over 2.5) Troyes - Valenciennes Troyes Win Angers - Pau FC Double Chance: (1X) Abha - Al Ittihad Al Ittihad Win Baden - Thun 1X2 & Total: (2 & Over 1.5) Hoffenheim - RB Leipzig DC &...
  6. Hammy36

    Huko Kwenye Mkoa Unapoishi Kuna Timu Iliyopo LIGI KUU?

    Najua wana KIJIWENI kwamba wana timu zao amabzo wanazishabikia na nyingine ni kutoka kwenye mkoa husika lakini naomba kufahamu kuwa Huko Kwenye Mkoa Unapoishi Kuna Timu Iliyopo LIGI KUU? Itaje Hapa
  7. Hammy36

    NANI KUWA BINGWA WA UEFA Mwaka Huu 2024?

    Real Madrid Borussia Dortmund PSG Bayern Munchen
  8. Hammy36

    Kinachomponza Mgunda Ni 'Rangi Yake Na Utanzania Wake'

    Mengi yanazungumzwa kuhusu kocha Juma Mgunda lakini ukisoma chapisho hili kuna mengi yameandikwa wewe una lipi la kusema? Kinachomponza Mgunda Ni 'Rangi Yake Na Utanzania Wake' SOMA ZAIDI ➡️➡️ https://www.kijiweni.co.tz/kinachomponza-mgunda-ni-rangi-yake-na-utanzania-wake/ Wewe Una Maoni...
  9. Hammy36

    MKEKA WA LEO 02/05/2024 Odds 96 Za Kibabe

    Shiriki Na ADMIN Kuandaa Mkeka : Tupia CODE Ya Mkeka Wako Hapa Sasa Baada Ya Kuusuka Huu Wa ADMIN Pogon Szczecin - Wisla Double Chance: (1X) Sonderjyske - Fredericia Sonderjyske Win Zamalek - National Bank Egypt Double Chance: (1X) Al Ahli SC - Damac Al Ahli SC Win Chelsea...
  10. Hammy36

    Kufuzu Kwa Yanga Robo Fainali Ashukuriwe MO DEWJI?

    Kumekua na taaarifa nyingi zaidi haswa kuhusu kauli ambayo ameitoa Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba kubwa zaidi kuhusu Kufuzu Kwa Yanga Robo Fainali Ashukuriwe MO DEWJI wewe unadhani ni Sahihi kwa kauli hii? Isome kwa undani hapa...
  11. Hammy36

    Simba Au Yanga Nani Kutoboa Makundi Ligi Ya Mabingwa?

    Tunafahamu kuwa Tanzania inawakilishwa na vilabu viwili kimataifa ambao ni Simba na Yanga lakini swali kubwa ambalo niko nalo kwako mdau wa Kijiweni. Kati ya Simba Au Yanga Nani Kutoboa Makundi Ligi Ya Mabingwa? Endelea kufuatilia zaidi taarifa mbalimbali kutoka Kijiweni kwa kugusa hapa...
  12. Hammy36

    MAYELE ANARUDI BONGO? Tumtegemee SIMBA, AZAM au kurudi YANGA?

    Sema wakati mwingine PICHA inaweza kubeba ujumbe, hii imestua baadhi ya watu kwani hapo ni Mr CEO wa Simba SC, Iman Kajula na mshambuliaji Fiston Mayele ambaye anakipiga pale Pyramids FC ya Misri. Kila mmoja ameweza kutunga sentensi yake kulingana na aina hii PICHA na kutoka na majibu tofauti...
  13. Hammy36

    Mbinu Zitakavyoiamua Mechi Kati Ya Asec Vs Simba

    Kwa Tanzania utakua ni mchezo ambao utafuatiliwa kwa kina kabisa kwa mashabiki wa Simba lakini pia na wapenda mpira kutoka hapa nchini mchezo wa makundi ligi ya mabingwa Afrika kati ya Asec Mimosas kutoka nchini Ivory Coast dhidi ya Simba Sc Tanzania. Unaweza kusoma zaidi kwa kugusa hapa...
  14. Hammy36

    KUTOKA AZAM COMPLEX MPAKA KUCHEZA UEFA

    KUTOKA AZAM COMPLEX MPAKA KUCHEZA UEFA KIUNGO wa Kimataifa wa Tanzania, Novatus Dismas Miroshi (20) amejiunga na klabu ya FC Shakhtar Donetsk ya Ukraine akitokea Zulte Waregem ya Ubelgiji. Baada ya kuibukia katika akademi ya Azam FC, Miroshi alichezea Biashara United katika Ligi Kuu ya NBC...
  15. Hammy36

    NI SIMBA SC NA AL AHLY YA MISRI LIGI YA CAF OKTOBA

    KLABU ya Simba itaanza na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano mipya ya Ligi ya Soka Afrika ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), maarufu kama CAF African Football League inayotarajiwa kuanza mwezi ujao. Wekundu hao wa Msimbazi wataanzia nyumbani Oktoba 20 Uwanja wa Benjamin Mkapa...
  16. Hammy36

    MANULA ANAREJEA UWANJANI

    Baada ya kuwa nje kwa muda ni rasmi sasa kipa namba Moja wa klabu ya SIMBA, Aishi Manula ameanza mazoezi mepesi ya kuurudisha utimamu wake wa mwili katika Uwanja wa MO SIMBA ARENA uliopo BUNJU Manula alifanyiwa matibabu Afrika Kusini baada ya kuumia kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka...