Search results

  1. M

    Hili sakata la Feisal na Yanga

    Vipi kuhusu hatima ya kiwango cha mchezaji? sijamaanisha kuwa watangulize utu ila cha msingi ni kwamba taratibu zifuate. Lakini pia bado hata taratibu zikifuatwa je? yanga wapo tayari kumwachia mchezaji?