Search results

  1. C

    SIMBA SC Na Azam, Kuna Kitu Yanga Anawafundisha Lakini Hamuelewi. Mpira Hauna Shortcut

    Mpira wa Tanzania ni drama, unapoiponda simba ya leo usisahau simba ya miaka 4 ago, na unapoisifia yanga ya ya leo usisahau yanga ya miaka 5 ago. So what next???, usije ukaitabiria miamba hii miwili may be umejua mpira jana. Jiulize kitu gani kiliijenga simba imara na kipi imeidhoofisha??? Kitu...
  2. C

    Huyu Ndie Kocha Fadlu Davids Anayetajwa Kuwa Kocha Mkuu SIMBA SC

    Hii nchi mashabiki ni wengi kuliko wapenda footballšŸ¤£šŸ¤£ Ubora wa kocha au mchezaji haupimwi na mchezo 1.
  3. C

    Hii Kauli Ya Mo DEWJI Anamaanisha Nini?

    A Mwamba wa lusaka anatusumbua huyu