Search results

  1. F

    Hii Kauli Ya Mo DEWJI Anamaanisha Nini?

    Kama ambavyo huwa tunakubaliana siku zote kwamba hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu.. naunga mkono hoja yake, na kimsingi mzee Ferguson alitufunza kwa mifano hai juu ya kuishi na kauli hii. Mwaheni aende anapoona anakwenda kupiga pesa zaidi.. sisi tumegoma😄