Search results

  1. yusufu

    Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

    Halafu swali kwa azam hiyo Video Assistance Referee (VAR) ipo ama haipo kwa maana naona kadi na offside zinatembezwa kwa wachezaji ambazo sio za kihalali katika michezo yote iliochezwa kwa mkapa.
  2. yusufu

    Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

    Ni mchezo mzuri kwa kweli. Lakini kutoka na goli moja kila mechi na kuruhusu magoli katika kila mechi utakuta hatuwezi kumaintain nafasi yetu ya kwanza ama ya pili katika msimamo wa ligi ikianza