Search results

  1. B

    Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?

    Daah? Mpira wa mtaani rahaa sanaaa nipo mtaani kwetu ligi ya ccm imeanza kwy finally wachezaji wa team mpzani walikuja wakitembea kinyume nyume wasianglie pembeni wao mbele too paka kwenye uwanjaa wageuke😂 Na kombe walishnda wao sasa uwanze ngumi kwy ulingoo