Search results

  1. D

    Ujue Mchezo Wa Aviator Au Kindege Na Siri Zilizojificha Nyuma Yake

    Upo sahh kabisa aviator cyo mchezo kabisa ule ni wizi mtupu
  2. D

    Ratiba Kamili Ya Yanga Kujiandaa Na Msimu wa 2024/2025 Umeionaje?

    Ratiba si mbaya sana imekaa tu vizuri nikiwa kama mdau wa soka naombea tu timu imalize hizo taratibu mapema pasipo issue za injuries za hovyo hovyo kwa wachezaji
  3. D

    Wana-Simba Tunaujua Mchezo Wa Injinia FEKI Wa Kutupoteza Maboya, Tumekushtukia Na Hatujai

    Wakomae na mambo Yao na sisi kama Simba tutakomaa na yetu tukutane kiwanjani this time acha tu inyeshe tutaone tu panapovuja
  4. D

    Mimi siyo shabiki wa Yanga lakini kwa yanayoendelea Sasa naombea vugu vugu liishe na wale...

    Mimi siyo shabiki wa Yanga lakini kwa yanayoendelea Sasa naombea vugu vugu liishe na wale waliokuwa madarakani waendeleee kwani kupitia wao tunapanda ushindani katika soka letu la Africa