Search results

  1. Balyx_

    ALVAREZ NI BORA KULIKO HALLAND

    Kuna mipira jana against Chelshit ulkua unaona kabisa kwamba hii Alvarez ingekuwa rahisi kuimaliza na kuamua game mapema sana. Guardiola afanye maamuzi magumu. Piga bench Halland Alvarez apate nafasi
  2. Balyx_

    MANURA ATISHIA KUVUNJA MKATABA

    Simba wanadaiwa signing fee na Manura, ni kama wamegoma kumlipa hivi na mwana anataka avunje mkataba asepe zake Azam
  3. Balyx_

    2023, ARSENAL ASHUKE

    Team za PL inatakiwa ziungane kumshusha Arsenal, otherwise watatutesa sana kwakweli.
  4. Balyx_

    HAPPY NEW YEAR

    Wanangu wa Kijiweni nawatakia Heri ya Mwaka mpya wa 2023. Tuendelee kupeana moja na mbili za Soka. 2023 is for AZAM FOOTBALL CLUB
  5. Balyx_

    Azam ni kama wapo serious na Ligi kuu Msimu huu..!

    Hili kombe akilikosa Azam basi kuna mchawi
  6. Balyx_

    AHMADA ATAWASHAGAZA

    Kuna tetesi kwamba Azam Fc anamtaka Kakolanya, ndio zipo ila bado akija atakuwa sub ya Ahmada sababu nyanda huyo bado ana mengi ya kuprove kwenyr Ligi hii Changa ambayo haina changamoto tofauti na bahasha
  7. Balyx_

    RINALDO NI DHAIFU

    Ronaldo kwenda kucheza Saudi ni ishara ya Uoga na Wivu mkubwa dhidi ya Mkubwa wake Messi, Robaldo aliwahi mdhihaki Xavi kipindi yupo Qatar akasema Amefata pesa na kamwe hatokaa afanye hivyo, je yeye amefata mafuta?
  8. Balyx_

    Lionel Messi Ndani ya NBC

    πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
  9. Balyx_

    NI NANI PELE WA LIGI KUU YA BONGO?

    Kwangu nadiriki kusema kwamba Mrisho Ngassa β€œUncle” ndo PelΓ© wa Bongo, hao akina Kompyuta sijui Kibadeni sawa walikuwa wanoma ila hawakufika level za Uncle especially akiwa pale Azam Fc
  10. Balyx_

    ENZO FRRNANDEZ NDO REPLACEMENT YA KANTE

    Kwa hapa Chelsea wamelamba Dume na kama kawaida yetu sisi Barcelona tunamchukua Kante πŸ₯Ή. Inaumiza
  11. Balyx_

    KONDE BOY ANATUA AZAM FC

    Kuna kelele nyingi mitandaoni kuhusu Konde boy kurudo Simba na wengine wakisema anaenda Yanga, ila ukweli ni kwamba konde anavaa jersey ya Azam Fc
  12. Balyx_

    HALLAND NI JINI

    H Hata Beki za kulivunja sasa hivi hamna pale EPL,πŸ˜‚
  13. Balyx_

    HALLAND NI JINI

    πŸ˜‚πŸ˜‚
  14. Balyx_

    HALLAND NI JINI

    Kwangu Halland ni Jini kuliko Mbappe ila advantags aliyonayo Mbappe ni team yake ya Taifa kuwa na nguvu kuliko Halland. Kama Norway wangekuwa wanafuzu hata kwenye Euro, WC na Nations League. Tungezungumza mengine zaidi na zaidi. HALLAND NI JINI