Search results

  1. J

    Mo Dewji Tafuta STRAIKA Wa Maana Umalize Kazi Uliyoianza

    Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita. Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu...
  2. J

    Je, Mahakama Ina Mamlaka ya Kumwondoa Rais wa Yanga Hersi?

    Katika tukio la kihistoria, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru Rais wa Yanga, Injinia Hersi Saidi, kuachia ngazi kutokana na ukiukwaji wa katiba ya klabu. Je, mahakama ina mamlaka ya kutoa uamuzi kama huu? Mahakama zina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kwamba sheria na taratibu zinafuatwa...
  3. J

    Maswali kuhusu usajili wa Lameck Lawi

    Maswali muhimu ya kujiuliza juu ya usajili wa LAMECK LAWI. 1). Kwanini SIMBA watambulishe picha za wanyama badala ya picha ya mchezaji husika. 2). Kwanini SIMBA wamtambulishe LAWI katikati ya SENKYU zao hali ya kuwa inaonekana bado hawajamaliza kutoa SENKYU Klabuni mwao. SIMBA walikuwa na...
  4. J

    Kwani Nini Kinawafanya Azam FC Kukosa Kuwa Na Timu Ya Wanawake?

    Azam Fc Ni Timu Kubwa Nchini Tanzania Ambayo Ina Miliki Timu Za Vijana Kuanzia Umri Wa Miaka 13,15,17,20 Na Senior. Timu Yake Ya Kiume (Senior Team) Ina Wachezaji Toka Mataifa Mbalimbali Wenye Thamani Kubwa Kuanzia Milioni 300 Hadi Bilioni 1, Sioni Kama Azam Watashindwa Kumiliki Timu Yao Moja...
  5. J

    Kuzuiwa na polisi kwa mkutano wa wanachama wa Simba, ni mpango wa Yanga na sio Mangungu

    Kuna namna wanahitaji kuendelea kutawala soka la Tanzania kwa msimu mwingine na hivyo wanafurahia sintofahamu hii hasa kipindi hiki cha usajili. Tunawafahamu polisi mashabiki wa yanga lakini pia tunafahamu jinsi wanasiasa walio madarakani wanavyojaribu kuitumia Simba kutimiza ndoto za marafiki...
  6. J

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    FEITOTO Njoo Simba huko Azam utachelewa sana KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa ni kufuata taratibu zote za uhamisho, kwani bado ana mkataba. Feitoto ambaye kipindi hiki cha usajili...
  7. J

    MAYELE: Yanga Wanajali Sana Maslahi Yao Kuliko Ya Mchezaji Nikirudi Watanipokea Tu

    mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anasakata kabumbu la kulipwa Pyramids FC ya Misri ametoa kauli hii “Pamoja na kwamba kumekuwa na vita kubwa juu yangu kwenye mitandao ya kijamii, bado naamini kwa asilimia 100% kwamba nikirudi Yanga mashabiki...