Search results

  1. MAGNUS

    Unatumia kampuni gani kubeti?

    Cjui namna ya kubet ingawa natamani nimpate mtu anifundishe kwa sasa
  2. MAGNUS

    FULL TIME: Tanzania 0 DR Congo 2 | Tanzania Wafanye Nini Mechi Zilizobaki Ili Wafuzu AFCON 2025 Morocco?

    First a half ball imechezwa vzr ila kasumba inayo endelea kutuumiza mara zote ni ya wachezaji kucheza cheza bila kuweka malengo, Mf.Congo kipindi cha1 wameweka malengo ya kulinda goli lao kwa dkk zote, kipindi cha pili wamekuja kivingine huku wakiwa wamewasoma wapinzani