Yanga Lazima ishinde
Kwani hata takwimu za sada ukiwchana na za 1990 huko
Kwa sasq mpira umekua
Ligi Namba 5 kwa ubora Africa mashariki
Kitu ambacho kinafanya tusiahgalie takwimu za zaman
Kwa Sasa yanga ndio timu tishio Zaid ndani ya Tanzania Bara na nje ya Tanzania ๐ Hahaha
Mtani eeeee...