Search results

  1. L

    Tanzania vs Guinea | Panga Kikosi Chako Cha Leo Na Tabiri Matokeo Ya Mwisho Ya Mchezo Wa Leo

    Lazima tutoboe na mungu atujalie mim naaamin tunapita kama nawe unaamin kama mim usiache kuomba
  2. L

    Tanzania vs Guinea | Panga Kikosi Chako Cha Leo Na Tabiri Matokeo Ya Mwisho Ya Mchezo Wa Leo

    1.manula 2.kapombe 3.shabalala 4.bacca 5.job 6.dismas 7.mzinze 8.mudathir 9.msuva 10.sammatta 11.fei inamaana sasa tutakua na viungo wa3 mkabaj mmoja na washambuliaj wawil fei na muda fei hatotokea winga atacheza eneo la kat upandd wa zimbwe
  3. L

    Yanga Kuachana Na GAMONDI Una Lipi La Kuzungumza Mwana KIJIWENI?

    Huwez jua maana si kila zuri limekamilika so acha tuone wanamleta nani then ndo tujaji ila kwa hili limeniliza sana