Nadhani yanga wapo sahihi kwa kuwa wao hawajaangalia mechi mbili tuu nadhani wameangalia tokea msimu huu uanze yanga imekuwa ni yakuonyesha performance mbovu mfano msimu ulio pita master ki ndani ya mechi 10 alikuwa na goli 7 lakini msimuu huu mechi hizo hizo kumi anagoli 1 tuu nihalali aondoke...