Search results

  1. J

    FT : Yanga SC 0 Al Hilal 2 | Umeuonaje Mchezo Wa Kwanza Wa Makundi Wa Ligi Ya Mabingwa Afrika Kwa WANANCHI?

    Mchezo ulikuwa mzuri lkn sisi kama mashabiki wa Wananchi tukubari kama tumepoteza tujipange na mchezo mwingine lkn timu yetu ijintathimini maana tunaoumia ni sisi mashabiki tuoneeni huruma tuna fedheheka Sasa maana hii ni mechi ya tatuu mfululizo jitaidini basi tuondokane na hii aibu jamani no...