Search results

  1. V

    Ajax yakaribishwa Tanzania

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya Soka ya Ajax ya Uholanzi ili itangaze vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia matangazo ya jezi na mbao za matangazo (billboards) uwanjani. D. Ndumbaro amebainisha hayo leo alipokutana na kufanya...
  2. V

    PSG

    He! Eti Messi chanzo Mbappe kuondoka PARIS, UFARANSA. USAJILI wa supastaa Lionel Messi huko Paris Saint-Germain umeripotiwa kuchochea uamuzi wa Kylian Mbappe kutaka kuachana na miamba hiyo ya Ligue 1, ripoti kutoka Ufaransa zimeeleza. Bao la dakika za majeruhi la Mbappe lilifanya PSG kupata...
  3. V

    AZAM FC YAENDELEA KUTAMBA KATIKA SOKA YA VIJANA.

    TIMU ya Azam FC U-20 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano maalum ya vijana (U-20 Tournament 2022), baada ya kuichapa JKT Tanzania U-20 mabao 4-3 usiku wa Jumatano Uwanja wa JMK Park, Dar es Salaam. Huo ni ubingwa wa pili kwa kikosi hicho ndani ya miezi miwili, baada ya Desemba mwaka jana...
  4. V

    Tanzania na Ukuaji wa Soko la Ubashiri Mitandaoni.

    MICHEZO ya kubashiri mitandaoni ni tasnia mpya nchini Tanzania, kama ilivyo kwa nchi nyingi za Kiafrika. Licha ya upya wake, hii ni miongoni mwa tasnia inayokua kwa kasi zaidi hapa nchini. Michezo ya kubahatisha mtandaoni inahusisha kubashiri matokeo ya michezo, kucheza kasino, michezo ya poka...
  5. V

    Mkeka Wa Saa Tisa Usiku Washinda Jackpot Bonus- Tsh. 21,731,100.

    Mkazi wa Masanga, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora Elibariki Edson Magaa,(33) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus ya Sportpesa kwa wikiendi iliyoisha baada ya kupatia kwa usahihi ubashiri wake wa mechi 12 kati ya mechi 13. Elibariki Magaa ambaye ni msanii wa fani ya kuchora na usanifu aliweka mkeka...
  6. V

    MCHENGERWA WAZIRI MPYA WA MICHEZO, NAIBU YULE YULE.

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan amemteua Mohamed Omary Mchengerwa kuwa Waziri mpya wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. Mchengerwa akichukua nafasi ya mwana Yanga mwenzake, Innocent Innocent Lugha Bashungwa aliyehamishiwa Wizara ya Tawala za Mikoa na...
  7. V

    Christiano Ronaldo

    Sanamu jipya la Cristiano Ronaldo lilijengwa huko Goa, India ili kuwafanya vijana wa nchi wachangamkie fursa ya soka na kuwapa moyo kuwa hata wao wanaweza kufanikiwa kwenye sekta ya mpira.
  8. V

    KOCHA MKENYA WA BIASHARA UNITED ATUA TANZANIA PRISONS.

    KOCHA Mkenya, Patrick Omuka Odhiambo amejiunga na Tanzania Prisons kwa mwaka mmoja kutoka Biashara United ya Mara. Huo ni miongoni mwa mikakati ya Prisons chini ya Kamishina Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Meja Jenerali Suleiman Mzee kuhakikisha msimu ujao timu hiyo inapata tiketi ya...
  9. V

    The Conte Effect

    FULL TIME Watford 0-1 Tottenham 90+6': Davinson Sanchez Tottenham Hotspurs hawajapoteza mechi nane mfululizo za EPL.
  10. V

    ‘KIMANDOO’ YANGA AFUNGIWA KWA KUMJERUHI MCHEZAJI WA PRISONS.

    SHABIKI wa Yanga SC, Ramadhani Molinga amefungiwa kuingia kwenye viwanja vya mpira kwa soka la kumpiga na kumjeruhi mchezaji wa Tanzania Prisons, Salum Kimenya.
  11. V

    ARAJIGA NA WENZAKE WAFUNGIWA KWA KUVURUNDA LIGI KUU.

    MAREFA kadhaa, akiwemo Ahmed Arajiga wamefungiwa, au kuondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu kwa makosa tofauti, yote yakiashiria mapungufu makubwa ya kitaaluma kwao.
  12. V

    CHARLES HILLARY ATEULIWA MKURUGENZI MAWASILIANO IKULU ZENJI.

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua mtangazaji nguli wa mpira, Charles Martin Hillary kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu visiwani humo.
  13. V

    CHELSEA YACHOMOLEWA DAKIKA YA MWISHO DARAJANI.

    WENYEJI, Chelsea wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Brighton & Hove Albion usiku wa Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Chelsea ilitangulia kwa bao la Romelu Lukaku dakika ya 28, kabla ya Danny Welbeck kuisawazishia Brighton dakika ya...
  14. V

    KMC CHUPUCHUPU KUPIGWA NA RUVU CHAMAZI, 1-1

    BAO la dakika ya mwisho la Charles Ilamfya limeinusuru KMC kupoteza mechi nyumbani baada ya kutoa sare ya 1-1 na Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Ilamfya alifunga bao hilo dakika ya pili na ya...
  15. V

    MTIBWA SUGAR YAILAZA COASTAL UNION 1-0 MKWAKWANI .

    TIMU ya Mtibwa Sugar imepata ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. Bao pekee la Mtibwa Sugar katika mchezo wa leo limefungwa na kiungo Salum Kihimbwa kwa penalti dakika ya 27. Kwa...
  16. V

    Ndo hivyo Chama kufuata nyayo za Okwi.

    HABARI za kurejea nchini kwa kiungo fundi raia wa Zambia, Clatous Chama ‘Mwamba wa Lusaka’ zimepamba moto kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo ambapo timu mbalimbali inakitumia kuimarisha vikosi vyao. Klabu za Simba na Yanga ndio ambazo zimekuwa zikihusishwa na kiungo huyo ambaye anaichezea...
  17. V

    Geita Gold FC yatoka sare na Mbeya kwanza, ligi kuu .

    FULL TIME: Geita Gold Fc 1-1 Mbeya Kwanza 51': George Mpole (p) 81': Habibu Kyombo (p)
  18. V

    Patrick Vieira amepimwa na kukutwa na Covid na atakosa safari ya Palace kwenda Spurs.

    Mkufunzi wa Crystal Palace Patrick Vieira hatasafiri na timu yake kwenda Tottenham siku ya Boxing Day baada ya kuthibitishwa kuwa anaugua mlipuko wa Covid-19 wa klabu hiyo. Bosi huyo wa Eagles amepata Covid -19 - mmoja wa watano waliosajiliwa na wafanyikazi wa kilabu na wachezaji - na msaidizi...
  19. V

    HEMED MOROCCO AACHANA NA NAMUNGO FC

    KOCHA Mzanzibari, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameamua kuachana na klabu ya Namungo FC baada ya misimu miwili ya kuiongoza kwa mafanikio.
  20. V

    Dembele kubaki Barcelona.

    Winga wa Fc Barcelona Ousmane Dembele amekubali kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo kwa muda wa miaka mitano ijayo Katika mkataba huo ambao unatarajiwa kutangazwa wiki ijayo, Dembele amekibali kupunguza mshahara wake ili kuruhusu timu hiyo kusajili wachezaji wengine Ikumbukwe...