Kuna mipira jana against Chelshit ulkua unaona kabisa kwamba hii Alvarez ingekuwa rahisi kuimaliza na kuamua game mapema sana. Guardiola afanye maamuzi magumu. Piga bench Halland Alvarez apate nafasi
Kuna tetesi kwamba Azam Fc anamtaka Kakolanya, ndio zipo ila bado akija atakuwa sub ya Ahmada sababu nyanda huyo bado ana mengi ya kuprove kwenyr Ligi hii Changa ambayo haina changamoto tofauti na bahasha
Ronaldo kwenda kucheza Saudi ni ishara ya Uoga na Wivu mkubwa dhidi ya Mkubwa wake Messi, Robaldo aliwahi mdhihaki Xavi kipindi yupo Qatar akasema Amefata pesa na kamwe hatokaa afanye hivyo, je yeye amefata mafuta?
Kwangu nadiriki kusema kwamba Mrisho Ngassa “Uncle” ndo Pelé wa Bongo, hao akina Kompyuta sijui Kibadeni sawa walikuwa wanoma ila hawakufika level za Uncle especially akiwa pale Azam Fc
Kwangu Halland ni Jini kuliko Mbappe ila advantags aliyonayo Mbappe ni team yake ya Taifa kuwa na nguvu kuliko Halland.
Kama Norway wangekuwa wanafuzu hata kwenye Euro, WC na Nations League. Tungezungumza mengine zaidi na zaidi. HALLAND NI JINI
Yanga wanataka kuzima Kick ya Feisal na wakapita nyuma wakatuma maombi ya kutaka huduma ya James na Kipre Jr
Azam wamejibu maombi yao na kutaka $400k kwa kila kinda wao
Yanga hawajaamini😂
Yacouba naamini ana uwezo mkubwa zaidi ya Mayele hivyo hakustahili kubaki Yanga na kuwa kivuli cha Mayele. Aende hata Azam auchape na awe mshindani wa Mayele
Leo itapigwa mbungi moja nzito sana, tactically, emotionally na physically Azam are the favorites kwenye hii game. Siwaoni Yanga wakipona hii mbungi kwakweli