Al masryl ni wapinzan wazr weny ushindan, lkn Hali kadhali simba kiuhalisia ubingwa huu tunautaka ili tuweze kudhirisha ukubwa wetu ,mbel ya watesi wetu na njee ya Tanzania, ko utakua n mchezo mzr kwa Aina yke weny ushindan tukitambua hakuna kibonde robo fainal ,chance za kupita na kubaki n 50...