Search results

  1. V

    Yanga Thread

    MATOKEO YA USAILI WA AWALI UCHAGUZI YANGA SC KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Malangwe Ally Mchungahela imetoa matokeo ya awali ya Usaili kuelekea uchaguzi wa klabu hiyo Julai 10, mwaka huu.
  2. V

    Simba Sports Club Thread

    SIMBA SC YAICHAPA KMC 3-1 BENJAMIN MKAPA MABINGWA wa zamani, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 3-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. KMC walitangulia na bao la Hassan Kabunda dakika ya 41, kabla ya Simba kutoka...
  3. V

    TANZANITE

    WAZIRI AWAPONGEZA MABINTI KWA KUTWAA UBINGWA WA KRIKETI RWANDA WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ametoa pongezi kwa Timu ya Tanzania ya Wanawake ya Kriketi kwa kutwaa Ubingwa Juni 18, 2022 kwenye mashindano ya Kwibuka Cup nchini Rwanda, yaliyoshirikisha nchi nane(...
  4. V

    Simba Sports Club Thread

    FUNDI RALLY BWALYA ALIBYOAGWA SIMBA SC KOCHA wa Simba, Suleiman Matola akimkabidhi jezi maalum kwa ishara ya kumuaga kiungo Mzambia, Rally Bwalya baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo dhidi ya KMC Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Bwalya anaondoka Simba kwenda kujiunga...
  5. V

    Taifa Stars

    STARS YACHAPWA 2-0 NA ALGERIA DAR KUFUZU AFCON TANZANIA imejiwekea ukungu kwenye safari yake ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani Ivory Coast baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Algeria usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Algeria yamefungwa na Amir Selmane...
  6. V

    TANZANITE

    FIFA YAIPONGEZA TANZANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeipongeza Tanzania kwa kufanikiwa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia kwa Wasichana chini ya umri was miaka 17 zitakazofanyika India baadaye mwaka huu.
  7. V

    Taifa Stars

    KIINGILIO TAIFA STARS NA ALGERIA NI SH 3,000 KESHO DAR KIINGILIO cha chini katika mchezo wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Ivory Coast baina ya wenyeji, Tanzania na Algeria ni Sh. 3,000. Bei hiyo ni kwa majukwaa ya mzunguko, wakati kwa VIP A, B na C...
  8. V

    TANZANITE

    SERENGETI GIRLS WAPEWA HESHIMA YA KIPEKEE BUNGENI TIMU ya taifa ya wanawake ya soka chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls) imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kupewa heshima na Bunge la Jamhuri ya Muungano kuingia na kukaa kwenye viti vya mawaziri ndani ya bunge baada ya kufuzu...
  9. V

    Yanga Thread

    YANGA SC YAACHANA KWA AMANI NA NTIBANZOKIZA KLABU ya Yanga imeachana na kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi, Saido Ntibanzokiza baada ya misimu miwili ya kuitumikia timu hiyo.
  10. V

    Ligi Kuu Thread

    DTB YA LIGI KUU NI SINGIDA BIG STARS FC BAADA ya kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara, timu ya DTB imebadilishwa jina na kuwa Singida Big Stars FC na kituo chake kitakuwa ni Uwanja wa Liti uliopo Singida.
  11. V

    Ligi Kuu Thread

    POLISI TANZANIA YAICHAPA BIASHARA 2-0 MOSHI WENYEJI, Polisi Tanzania wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Mabao ya Polisi Tanzania yamefungwa na Deusdedith Okoyo...
  12. V

    Taifa Stars

    TAIFA STARS KUIFUATA NIGER KWA NDEGE YA KUKODI TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakwenda Benin kwa ndege ya kukodi kwa ajili ya mchezo wake wa kwanza Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Niger Juni 4 Uwanja wa L'AmitiƩ mjini Cotonou. Taarifa ya...
  13. V

    Simba Sports Club Thread

    SIMBA SC YAMTUPIA VIRAGO KOCHA PABLO KLABU ya Simba imeachana na kocha wake, Mspaniola Pablo Franco Martin baada ya makubaliano ya pande zote MBILI na kuelekea mechi zilizobaki kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara timu itakuwa chini ya kocha Msaidizi, Suleiman Matola. Pamoja na Pablo...
  14. V

    Ligi Kuu Thread

    PRISONS NA GEITA GOLD ZAGAWANA POINTI SOKOINE WENYEJI, Tanzania Prisons wamegawana pointi na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya Leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Jeremiah Juma alianza kuifungia Tanzania Prisons dakika ya 38, kabla ya Danby Lyanga kuisawazishia...
  15. V

    Taifa Stars

    TAIFA STARS KUANZA NA SOMALIA KUFUZU CHAN YA MWAKANI TANZANIA itaanzia ugenini kwa Somalia katika kuwania tiketi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwakani nchini Algeria. Mechi hiyo itachezwa kati ya Julai 22 na 24, kabla ya timu hizo kurudiana Tanzania kati ya Julai 29 na 31...
  16. V

    KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.

    MAKOCHA, MANAHODHA SIMBA NA YANGA WAELEZA MIPANGO KOCHA Mkuu wa kikosi cha Yanga, Nassredine Nabi, amesema kesho hawata waachia simba nafasi ya kutinga fainali kwani msimu huu malengo yao ni ubingwa wa Kombe la Shirukisho la Azam ( ASFC) . Yanga wanashuka katika dimba la CCM Kirumba saa Tisa...
  17. V

    Ligi Kuu Thread

    SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI KIRUMBA KLABU za Simba na Yanga zimetozwa faini kwa makosa tofauti kwenye mechi zao kadhaa zilizopita za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zikiewemo za Jumapili na Jumatatu Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  18. V

    Liverpool Thread

    Liverpool ni timu pekee ambayo haijapoteza mechi yoyote ya EPL ndani ya mwaka huu 2022. Mechi: 18 Kushinda: 15 Sare: 3
  19. V

    AZAM SC

    MATCHDAY Azam Fc Simba Sc Nbc Premier League May 18, 2022 Azam Complex 19:00 PM (EAT) Nani ataondoka na alama tatu hii leo?
  20. V

    Ligi Kuu Thread

    MPOLE AFUNGA BAO LA 13 GEITA YAIDIDIMIZA MBEYA KWANZA SONGEA MSHAMBULIAJI George Mpole amefunga bao la 13 la msimu, timu yake Geita Gold ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Maji Maji Jijini Songea mkoani Ruvuma...