Search results

  1. M

    FEITOTO Kwenda Simba Inawezekana Au Ni Stori Za Kupunguza Maumivu Ya CHAMA?

    🦁Usajili huu wa "Fei" kwenda simba unawezekana. Na ni moja kati ya sajili nzur kam simba wataweza kuikamilisha 🙄
  2. M

    Ten Hag abaki Man utd

    Ten hag ana kitu kweny ukocha. Ila ili hapate mafanikio inabidi alete wachezaji wenye chachu ya mafanikio. Pia shida inakuja mchezaji gani yupo sokoni saiz anataman kwenda man u ni hakuna
  3. M

    MGUNDA APEWE TIMU MSIMU UJAO?

    Mgunga soccer analiweza kila kipind anachopewa team mgunda inakuwa na hali mbaya lkn akiingia kazini team mara nyingi inabadilika na kuanza kujiludi kweny kiwango furani. Shida inapokuja ni kwamba makocha wazawa awahaminiwi. Ila mgunda apewe team bs ata kwa msimu ili tuone kam ni kwel anaweza...