Search results

  1. M

    Kukatwa Alama Kisa Ushirikina Ligi Kuu Umeipokeaje?

    Kuna mtu anasema eti wachawi wataenda kula wapi😁😁😁😁 so shameful kuwa na ligi ya kichawi hii ni premium league cyo witch πŸ§™β€β™‚οΈ doctors league
  2. M

    Kukatwa Alama Kisa Ushirikina Ligi Kuu Umeipokeaje?

    Sidhani kama ni vema kuwa na ligi ambayo Kuna teams zenye ushirikina mimi naona ni vema kabsa hiyo sheria ya kukatwa point kama team ikionyesha mambo ya ushirikina itaheshimisha soka letu la NBC Hivyo naomba hii ipitishwe na kufanyiwa kazi accordingly ☺️ 😊
  3. M

    Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?

    pia offside Ina changamoto sanaaa Yan unakuta mipira haupo offside ila refa anasema ni offside basi na hii irekebishwe kidogo offside ni mpaka mtu aguse mpira
  4. M

    Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?

    Ball to hand and hand to ball Hii irekebishwe ili utata utoke Iwe kushika ni kushika tu no matter mpira umefata mkono au mkono unefata mpira iwe 1 tu ukishika umeshika
  5. M

    MGUNDA APEWE TIMU MSIMU UJAO?

    Mgunda n kocha mzuri sana ila Sasa cc watanzania tushazoea kuwa lazima kocha awe wa kigeni tena mzungu kitu ambacho c sawa lait mgunda akioewa team alaf alatewe wachezaji wazuri cmba itakuwa nafac ya pili afrika na kwa Tx akuna timu itakayosumbua tena