Search results

  1. F

    FULL TIME: FC AUGSBURG 2 YANGA SC 1 Mmeuonaje Mchezo Huu Wananchi Wa Kijiweni?

    Yanga saiv imekuwa ya moto mno ndani kuna watu nje kuna watu sio kama wao waliofungwa 6-2 tena na time daraja la pili
  2. F

    Kuhusu Lameck Lawi Tuwaamini SIMBA au COASTAL UNION?

    Hebu ifike mahali tuache siasa kwenye mpira jaman hii ni siasa sasa
  3. F

    Ratiba Ya CAF Zawabana SIMBA, YANGA,AZAM Na COASTAL Usajili Wao

    Kila lakheri timu zetu,,,tuweke uzalendo mbele kwa kuzisapoti timu zetu ili kulifikisha soka la tanzania mbali zaidi
  4. F

    Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

    Wachezaji siku hizi wamekuwa wakiweka madau makubwa sana kana kwamba wanazikomoa timu ila ifike mahali kama wanashindwa kukizi matakwa yake wamwache aende
  5. F

    Kijiwe cha TFF

    Tatizo la fei Ana utoto mwingi sana Nadhani akikua ataacha by Francis mnyinga
  6. F

    Umeuonaje Mchezo? Azam 0️⃣ Simba Sc 3️⃣

    me nazani ifike mahali tuamini makocha wazawa,,,,Mgunda aachiwe simba mazima
  7. F

    Umeuonaje Mchezo? Azam 0️⃣ Simba Sc 3️⃣

    me nazani ifike mahali tuamini makocha wazawa,,,,Mgunda aachiwe simba mazima