Search results

  1. S

    SIMBA SC Na Azam, Kuna Kitu Yanga Anawafundisha Lakini Hamuelewi. Mpira Hauna Shortcut

    Kwanini mnatoa Siri waacheni wenyewe wakisemwa wananuna wanaona wanaonewa waacheni wanajua kwanza wanahela yanga wanawamudu na watamfunga tano tano "SIMBA, AZAM MWAYA MNAJUA MSISIKILIZE MANENOπŸ‘‰πŸ€­πŸ‘ˆ"
  2. S

    Kwa Ratiba Hii Ya EPL 2024/2025 Bingwa Nani?

    Manchester City anachukua Tena Kama timu ndogo hazitakuja kutu surprise maana anaanza na timu ngumu Ila mechi zake 10 za mwisho Ni dhidi ya timu ndogo mechi zisizo na presha tukiwatoa MAN UTD, CRYSTAL PALACE na ASTON VILLA wanabaki wakina Southampton, Ipswich, Fulham, Brentford, wolves etc na...
  3. S

    NUKUU 5 Za Mo DEWJI Kwa Wanasimba , Ipi Umeielewa Zaidi?

    Sasa anapoizungumzia pre season na Simba day kuna MAFANIKIO gani Simba wanayapata πŸ˜‚πŸ˜‚ wenzao waliweka kambi AVIC TOWN
  4. S

    Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Haya vipi kuhusu bilion 20 na mangungu ajiuzuru auπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
  5. S

    Yupi mwamuzi wako Bora Msimu uliopita?

    Admin huyo Frank kombe achana nae kabisa VAR haikamati hapo anaona mpaka anaboa washambuliaji wa timu pinzani kwake hauzidi hata Rasta πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini arajiga Ni anauvumilivu saana na huu mchezoπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
  6. S

    Yupi mwamuzi wako Bora Msimu uliopita?

    Admin huyo Frank kombe achana nae kabisa VAR haikamati hapo anaona mpaka anaboa washambuliaji wa timu pinzani kwake hauzidi hata Rasta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
  7. S

    Wanasimba Kauli ya CADENA Mmeichukuliaje?

    Kila mtu afanye majukumu yake asee
  8. S

    Simba Na Yanga Kupigwa Mara 3…Msimu Wa 2024/25

    japo tumezoea wa kwanza anatakiwa kucheza na wa mwisho na wapili acheze na wakwanza ila anyway acha FAINAL ikawe rahisi napresh upande mmoja maaan Simba na yanga anaepita kalibeba ni Kama mancity na Madrid real tuuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
  9. S

    Yanga Sc, Azam Fc Kwa Kanuni Hii Caf Muwe Makini…Simba No Stress

    Wanatakiwa kujiandaa na shirikisho BasiπŸ˜‚hakuna la nyongeza😁
  10. S

    Kijiwe cha watoto wa Jangwani

    Mchezo wa sitaki nataka vipindi vyote yaani kushambulia na kujilinda by the way CLASS OF CONFIDENCE IMEAMUA YANGA KUWA BINGWAπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
  11. S

    Mkeka Wa Leo 30/05/2024 Odds 47

    Wakamalia tupo kwenye kipindi kigumu saana dah😒 admin ukipataga ya soda unikumbuke😭
  12. S

    MZEE MPILI: NIKO TAYARI FIGO YANGU IUZWE PESA APEWE AZIZI KI ABAKI YANGA

    Sio kila kiumbe anaangalia pesa, asikatiwe matumaini Ki Azizi, Marco reus pesa haikumtoa DORTMUND πŸ€·πŸ½β€β™‚οΈπŸ€·πŸ½β€β™‚οΈπŸ˜
  13. S

    MAYELE: Yanga Wanajali Sana Maslahi Yao Kuliko Ya Mchezaji Nikirudi Watanipokea Tu

    Akirudi anapokelewa hakuna mtu aliwaudhi Sana yanga Kama metacha mnata, mashabiki walinyooshewa dole la Kati wakamchukia kwa miaka miwili na bado akajaomba msamaha ambao hakutumia dk hata 3 na akasamehewa WHY MAYELE😁😁😁🀣
  14. S

    Simba wanaweza kufanya vizuri shirikisho mkashangaa

    Simba mwaka huu shirikisho pagumu Ila Nampa nafasi yanga endapo itakuwa na consistence nzuri msimu ujao Basi FAINAL Klabu bingwa uwakika Na hiyo Ni kutokana na timu zilizoingia Klabu bingwa mwaka huu nyingi Ni anazozimudu yanga, Ila shirikisho kuna wataalam kabisa😎
  15. S

    Mchawi wa Simba Ni Simba wenyewe

    Mimi nilikuwa nadhani baada ya mzunguuko wa kwanza kukamilika Simba walishaona wapi wamekose, sijategemea Kama wangeingia kwenye presha za usajili tena vipi Kama wangeatulia kuanzia dirisha dogo wangesajili key players wa maana kwa malengo ya msimu ujao..? Namaanisha mzunguuko wa pili ungekuwa...
  16. S

    Matampi Wa Coastal Union Ni Mbadala Sahihi Wa Lakred Simba?

    Save this admin Matampi akienda Simba 😜 SITAKI ATUKANWE NARUDIA ASISEMWESEMWE MPAKA MSIMU UISHE HUKU COSTAL HAGUSWI KABISA
  17. S

    MKEKA WA LEO 10/05/2024 Tunaanza Wikiendi Kibingwa

    Unatumia app ya Sina ganiπŸ€”πŸ€”...!?