Search results

  1. A

    FT : Tanzania 0 Ethiopia 0 | Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO πŸ˜…

    πŸ˜‚ au basi ngoja tusubiri mechi ijayo
  2. A

    Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?

    Tuleteee liwaya yetu bhn achan na mipira
  3. A

    Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

    Tuletee msala bhn yani ni nzuri kuliko kikosi cha thimbaaaaaaπŸ˜‚
  4. A

    Ujue Mchezo Wa Aviator Au Kindege Na Siri Zilizojificha Nyuma Yake

    Dah πŸ˜‚ itoshe kusema tokea nimeujua huu mchezo nimeliwa buku tu. WAMENIKOSA πŸ›«
  5. A

    Panga Kikosi Chako Unachoanza Nacho Kutokana Na Usajili Wa Timu Yako

    Tuachane na vikosi kwanza😁 yani huu usajili wa kijili ni ishara ya kuagwa kwa kapombe πŸ‘‹πŸ˜‚.. makofi kwa mwenye jicho la 3 kumleta kijili msimbazi
  6. A

    KIJIWENI Kwenu Timu Yenu Ya NDONDO Inaitwaje?

    Baruti fc 😊 mabingwa wapya harage cup πŸ†
  7. A

    Mabadiliko gani ambayo Simba wanapaswa kuyafanya kwenye kikosi chao?

    Achana na simba admin, ebu tupia fungate bhn
  8. A

    Matampi Wa Coastal Union Ni Mbadala Sahihi Wa Lakred Simba?

    Admin tumefikia huku jamn?? Yan tunamfananisha kipa na mdakaji πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ
  9. A

    Ukipata Nafasi Ya Kubadilisha Sheria Moja Ya Mpira Wa Miguu Ungeitoa Ipi?

    Penati irudi kama zamani unaanza na mpira katikat ya uwanja πŸ˜‚
  10. A

    Umeuonaje Mchezo? Azam 0️⃣ Simba Sc 3️⃣

    Chasambi na mgunda wote peponiii.... 😊 muda wa koti jeusi huu
  11. A

    Azam Fc vs Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC

    Naona fei toto 3 simba 0
  12. A

    Wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara Wanaolipwa Pesa Ndefu

    πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ kwa luis tumepigwa na kitu kizito