Search results

  1. B

    Mmekionaje Kiwango Cha YANGA? Unadhani Wanapaswa Kuboresha Eneo Gani?

    Kuna vtu vya kunitesa ila cio wins za mtu.... Kaizer kweny 16 matches amshinda 2... Ashadrop kitamb sana🤣
  2. B

    Mmekionaje Kiwango Cha YANGA? Unadhani Wanapaswa Kuboresha Eneo Gani?

    Kaizer chiefs nafas ya 10 goal difference ni -5 huk kwetu kagera united nafas ya 10 goal difference ni -9 wote ni walewale tuuh🤣🤣🤣 UBAYA UBWAX UBWELA Na wakiuliza maana ya SANDA waambie msim huu kila team itaonja umauti 🤣🤣🤣
  3. B

    Je, Baleke Aliihujumu Simba? Wachezaji Wa KiCongo Siyo Waaminifu

    Wakongoman ni wachapakaz sana but when it come to the issue of betrayal.. Ni nyoka sana hawa jamaa.. Tamaa inawaendesha sana
  4. B

    Tuzo Za Ligi Kuu Mnazipangaje?

    Bingwa 👉Young african Kipa bora Matampi Top scorer👉 Aziz ki MVP 👉feisal Saluum Fair play👉Ntibazonkiza Coach👉Gamond Beki bora👉 Ibra bacca
  5. B

    KIJIWENI Kwenu Timu Yenu Ya NDONDO Inaitwaje?

    MANUNGU FC Tunduma border, hii team michango haijawahig kuisha, kwanza kila Match ina mchango wake🤣🤣🤏
  6. B

    Uko Kijiwe Gani Muda Huu?

    Kijiwe kimepoa sana leo... Labda badae champions league kitawaka like its normal behaviour.
  7. B

    Wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara Wanaolipwa Pesa Ndefu

    Napata kuona simba watano Ice cream mbili na tuafrika tudogo tuwil🙌🙌🤣🤣