Search results

  1. R

    FULL TIME : GUINEA 1 TANZANIA 2 | Leo Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO?

    Yaani mpaka wasemwe ndio wajirekebishe. 1. Kwanza kabisa kazi nzuri kama timu/wapambanaji tuna faida ya point 4 2. Kuna sehem kadhaa za kuzifanyia kazi a)Benchi la ufundi liwe makini kwenye kupanga watu sahihi kwa nafasi sahihi sio mtu wa kushoto unamweka kulia kiungo kumweka beki...
  2. R

    Unakubaliana Kiasi Gani Na Waraka Huu Wa JEMEDARI SAID Kuhusu TAIFA STARS?

    Kwa kifupi kwenye timu ya taifa Kuna tatizo kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji. Yaani wachezaji baadhi hawajitumi kama kwenye timu zao za club, halaf benchi la ufundi sjui wamepangaje mfumo
  3. R

    Unakubaliana Kiasi Gani Na Waraka Huu Wa JEMEDARI SAID Kuhusu TAIFA STARS?

    Of course yaani formation ya kujilinda unataka ushinde at least wangeeka striker wawili
  4. R

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Atakaefaa awe amechukua ligi, UEFA na kuifikisha nchi yikes fainali
  5. R

    WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?

    Ni bora abakie ale mshahara huo mdogo hata aspocheza Lakin afanye mazoezi alinde kipaji
  6. R

    KIBU DENIS Leo Ni Siku Ya 16 Hayupo Kambini

    Ni sahihi ila kama ni mchezaji professional itakuwa ni changamoto ya muda mfupi na utaonyesha uwezo wako, Pennine na hivyo utaonekana uwezo wa kubahatisha. Kikubwa atatokea sub kama hakuwepo kwenye mipango ya mwalimu mpaka atakapoelewana na mwalimu.... 🖊@king
  7. R

    Kuhusu Lameck Lawi Tuwaamini SIMBA au COASTAL UNION?

    Yah kama hawawatumii wawaache huko Wapakoneta namba kuliko kupoteza vipaji
  8. R

    Nukuu 2 Za Leo za MURTAZA MANGUNGU Baada Ya Kauli za Mo Dewji

    Uchaguzi ufanyike basi maana mnatuzingua