Search results

  1. B

    Umeuonaje Mchezo? Azam 0️⃣ Simba Sc 3️⃣

    Kuna mambo makuu mawili. 1. Wachezaji wanajiamini sana chini ya kocha Mgunda, na wana imani naye na hili utaona jinsi wanavyojituma kuhakikisha hawamuangushi kocha aliyewapa imani. Ni wakati sahihi wakuamini wazawa na kumuachia timu Mgunda, aongezewe tuu technical benchi nzuri ikiwemo ya...