Search results

  1. K

    FT : Tanzania 0 Ethiopia 0 | Mna Lipi La Kuzungumza WAZALENDO 😅

    Hivi kwanini tusiwarubuni akina Pacome, Chama, Mukwara, Aziz Ki wakawa watanzania? Nauliza tu
  2. K

    FT : Simba SC 1 Al HILAL 1 : Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Waombe mechi ya kirafiki na wananchi,,,offcoz wako vzuri
  3. K

    FT : Simba SC 4 Fountain Gate FC 0 | Mna Lipi La Kusema Wekundu Wa Kijiweni?

    Simba akikutana na hawa utasikia amejipata he he he ila akikutana na Yanga "bado anajitafuta he he he,,,,, comments ziwe fupifupi
  4. K

    Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

    Mtani si anajenga timu bado anakusanyakusanya nondo na tofali,,,,, bado safari za mikoani kwenye viwanja vilojaa tope,,,,mtani mtani may one day atatoboa hata kama ni kutoboa chupa,,,,, mtani mtani endelea kujitafuta
  5. K

    Hili La Mkude Na Yanga Lina Elimu Ndani Yake

    Ni hao wachambuzi na waandishi ambao wamekosa taarifa na kuanza kutunga taarifa zao ilimradi tu wapate kujulikana na kuonesha kuwa wapo,,, bila kujua kuwa wanatufanya tuwaone akili hawana na tunazidi kuwadharau kwasababu hawafanyi kazi yao wanayotakiwa kufanya,,,nadhani wajifunze kupitia hili...
  6. K

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025?

    Mimi kama mwananchi napenda kukiri kuwa nafurahi jinsi simba wanavyoteseka,,, waendelee hivyohvyo,,,
  7. K

    AZIZ KI vs FEITOTO Nani Tunampa Kiatu Cha Ufungaji Bora Hapa Kijiweni?

    Haiishi mpaka iishe he he Aziz siyo mtu mzuri kabisaa mwanangu admin na hapo kakosa mengi he he
  8. K

    Azam vs Yanga Kupigwa Zanzibar TFF Mmezingua

    Hii mbona iko sawa tu!
  9. K

    Shaffih Dauda vs Zaka Zakazi Nani Yuko Sahihi?

    Azam itawashangaza wengi
  10. K

    MGUNDA APEWE TIMU MSIMU UJAO?

    Kwahyo kwenye kuingia uwanjani na kufanya vurugu unarefer kwa Gamondi siyo?